Nya,bura hajanistua ila anajiamini....
umeona ee
halafu hawa wameimba vizuri..namuwaza hisia wetu
umeona ee
halafu hawa wameimba vizuri..namuwaza hisia wetu
umeona ee
halafu hawa wameimba vizuri..namuwaza hisia wetu
Nilikuwa naulizia mahudhurio kwa ujumla kwa wadhiriki
Leo show ipo very hot
Huyu amekosa wimbo wa kuimba anaimbu valuvalu watamkandya kinoma na ataingia lupango leo
Mungu saidia..
Mi namuwazia Hisia wetu kwa kweli....
ndo tegemeo lililobakia