sijui kwa nini hapendi kuwa smart na ule mkofia sijui ndio nini. ananikera
kura zetu zimefanya kazi.
Duh -ii tunatofautiana sana dogo kabonda vibaya wimbo mgumu una varriation kibao sauti yake imetulia hajahama key wala ku distort alafu unasema hovyo? au ulitaka aimbe taarabu?
Jamani TUJIPONGEZE kwa kazi nzuri.. Vita bado inaendelea. Kura zinafunguliwa sa tatu ucku huu na kufungwa kesho mchana
I wish unione nilivyoshangilia............
nuilikuwa na wasiwasi nae kweli leo..... mungu ni mwema
Hawa madogo mapacha ni kiwango kingine kabisa.
kwani humwoni kakaa kitaarabu nywele ka mdada
next tme you should learn to trust in my words LOL
jaman hebu twenden tupige kura zet 5 leo na kesho asubuhi 5
haa haaa haa nahisi atashika nafasi ya nne. hayupo serious huyu mtu jamen ukweli tusemage
haa haaa haa nahisi atashika nafasi ya nne. hayupo serious huyu mtu jamen ukweli tusemage
Hongera Hisiaaa....Wakuu leo sikua hapa foleni imebana ile mbaya...Nikitamani kupaaa...