Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Nimempigia HISIA tayar....u never may be kura zangu 5 zitabadilisha matokeooo
 
Jamani i was so busy yeaterday...majukumu nayo....but am happy kura zimemsogeza top 4......ngoja nikapige tena NOW!!
 
Helloo wadau.....nipo mbeya nilifiwa na cousin wangu,nashukuru shughul zote zimekwenda salama!!!

Hao wote ni washindi ingawa Hisia kushinda ni ndoto......ila tuendelee kupiga kura coz anything can happen!!!
 
Ooh pole sana miss strong.

Wacha tuendelee tu kuvote tuone mwisho wake.
 
Last edited by a moderator:
Helloo wadau.....nipo mbeya nilifiwa na cousin wangu,nashukuru shughul zote zimekwenda salama!!!

Hao wote ni washindi ingawa Hisia kushinda ni ndoto......ila tuendelee kupiga kura coz anything can happen!!!

Pole sana mkuu. Mungu awatie nguvu.
 
pole sana miss strong kwa msiba wa cousin na kwa kutoka kwa mumeo.
 
Last edited by a moderator:
pole sana miss strong kwa msiba wa cousin na kwa kutoka kwa mumeo.

Nashukuru sana Mapi.....poleni pia nanyi kwa kuhamasisha Hisia afike mahali hapo alipo,kama atarud uraiani huku ajue JF imechangia kufika hapo alipo.
 
Last edited by a moderator:
Ooh hata mm jana nilimiss ila leo ntajitahidi nitoke kwenye party ya ubarikio mapema niangalie show,washindi wangu tatu bora ni hope,amos and josh,hisia respectively. Na tujionee plz tanesco spare me today
 
helloo wadau.....nipo mbeya nilifiwa na cousin wangu,nashukuru shughul zote zimekwenda salama!!!

Hao wote ni washindi ingawa hisia kushinda ni ndoto......ila tuendelee kupiga kura coz anything can happen!!!

twambobo miss strong.

Pole sana mungu akupe wepesi na faraja.
--------------------+++++++
tpf6 washindi ni amosi and josh.
 
Last edited by a moderator:
Helloo wadau.....nipo mbeya nilifiwa na cousin wangu,nashukuru shughul zote zimekwenda salama!!!

Hao wote ni washindi ingawa Hisia kushinda ni ndoto......ila tuendelee kupiga kura coz anything can happen!!!
pole my twin i missed you .
 
asante miss strong itabidi akirudi tufanye kumuunganisha na jf aje ashukuru...
 
Last edited by a moderator:
Mapemaa.....npo zangu mbeya lakin mambo yamejipa na nimeTune citizen kusubir mtanange
 
Back
Top Bottom