huyu hisia huyu.......... wacha leo arudi kuongeza folen mjini hapa.
Jamani Hisia kaimbaje? Coz i waz not listening..
huyu mutu bana? aghrrrrrrrrrrrr
huyu hawezi rudi hata kidogo leo kashusha mavoccal ya uhakikahuyu hisia huyu.......... wacha leo arudi kuongeza folen mjini hapa.
Dogo Hisia naona an perform muda huu!!!!!
amos n josh..nahisi watachukua ushindi hawa
kwa niaonavyo kaimba POA...............
namjuaga sana........most of the time she judges that way
Ovyo kabisa
huyu hawezi rudi hata kidogo leo kashusha mavoccal ya uhakika
Nilijua mm tu kumbe nanyi mmeona???
I love you Hisia........
Hisia beautiful Voice and you sing with alot of Passion- Ian
Duh -ii tunatofautiana sana dogo kabonda vibaya wimbo mgumu una varriation kibao sauti yake imetulia hajahama key wala ku distort alafu unasema hovyo? au ulitaka aimbe taarabu?Ovyo kabisa