Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Wakenya Wajanja. Wameamua kumuua Nyambura ili kura zisigawanyike sana wasije wakakosa kote
Wakenya siku zote wako strategic sana. Hata kwenye riadha huwa wanakuwa na wakimbiaji walioandaliwa kuwa washindi halafu kuna wengine kazi yao ni kuwachosha wapinzani.
 
Mbona nambiwa voting is closed? Si walisema wanafungua sa tatu?
 
Hii kitu mbona inazingua. Nikitaka kwenda next page nimpate Hisia naambiwa voting is closed. Huu si uhuni sasa?
 
pole zangu za dhati kabisa, toka ndani ya mtima wa moyo wangu zimuende mumamaaa ya patrick a.k.a miss strong .
 
Last edited by a moderator:
Aisee show iliyopigwa na AMOSI NA JOSH SIJAONA KWENYE TPF6 DAAA WAMEVURUGA HILE MBAYA.

DAAA BIG UP WATANZANIA KWA KUMPIGIA KURA HISIA.

DAA EATV,EARADIO,RADION ONE,CAPITAL TV AND RADIO AND ITV WASHUKURIWE SANA KWA KUHAMASISHA UPIGAJI KURA.

KWANGU MIMI HADI SASA WASHINDI NI.
1AMOSI AND JOSH
2.HISIA
3.HOPE.
4.DEISY.
 
"lol... But kijana; the federation will still happen with or without the fightings etc.....i have not heard the tanzanian intellectuals (proffesors, doctors etc)saying that they do not want eaf.... If anything they have been silent knowing that it is a good thing to have eaf.
Balozi"

bwana balozi, i am also among the intellectuals (najifagilia mwenyewe). I don't like this monster political federation. No...no. No. Haiwezekani tuungane. What for? Hatuwezi kufanya kosa tena. Nimesoma mtanzania mmoja akisema kuwa ikitokea tukaungana ataanzisha kikundi cha wazalendo cha kupigania uhuru wa tanzania. Mimi siyapuuzi mawazo ya aina hiyo. Tunakaribisha machafuko katika eneo hili la afrika. Shirikisho la kisiasa big no. Huwezi kuungana na watu wanaokuona wewe ni takataka. Haiwezekani. Kila mtu abaki kwake katika nchi yake.

aiseee
leo nili miss hii kitu hila nimeangalia marudio.
Naona team hisia meno nje.......

Pole yangu imfikie miss strong.

Heaven on Earth show walio piga amosi na josh...
Nachukua nafasi hii kuwatangaza washindi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom