majangaa
Nini maoni yako kuelekea mechi ya leo baina yetu na Ivory Coast.
Pambano litalochezwa saa tisa kamili za mchana kwa saa za Afrika Mashariki ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam. Idadi ya watu ni 60,000.
Kutokana na uzoefu na maumbo ya wachezaji wa Ivory Coast hasa upande wa kiungo, ningefurahi sana kama Mwalimu atamuanzisha Chuji kama kiungo mkabaji (mzoefu na mwenye stamina) ili kupambana na kutibua mbinu zote za kina Yaya Toure na wenzie.
Tunahitaji sana ushindi hii leo ili kurejesha matumaini ya kuelekea Brazil 2014.
Kwanini mkuu? Mbona kama umekata tamaa mapema!
Yaya Toure funga hawa CCM na litimu lao linaloenda kwa nguvu ya soda.......
Ukiishabikia timu ya taifa jingine tofauti na taifa lako
Wewe ni MTUMWA
Kimetah, mimi najivunia timu yetu na ninaheshimu uwezo wa wachezaji wake.mchezo hauangali nyamanyama mtu alizonazo,bali ni maujanja kwa wingi,,,,huyo chuji wako ni wakawaida sana