live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

Mpira gani huo, dakika ya 7 tayari mtu kesha kunywa mbili? Huu utakua ule mchezo waakina mama (lede)
ukikutana na fundi, ni kawaida tu, au umesau bayern alifnywa nn na man u uefa kipindi hicho?
 
Maskini Yanga wana wa'comorozine wenzao tena bila huruma
 
ukikutana na fundi, ni kawaida tu, au umesau bayern alifnywa nn na man u uefa kipindi hicho?
Nani kakuongopea Yanga wanajua? Sema mumewakamatia wehu munawabuluza munavyo taka. Ili kuonyesha Yanga anajua tungoje Waarabu waje hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…