Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,413
- 1,534
wakuu naomba mnieleweshe...mikanda saivi ipo mikononi mwa polis? je baada ya vijana kuporwa mikanda na polis chadema watakuwa na mikanda tena?
hawa jamaa kazi ya kuzurura tu. bungeni wamesusia baada ya waziri mgimwa kuwazidi kwa kila angle na sasa wanaamua kuendeleza porojo kwa mambo wanayojua kuwa yametokeaje
kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
Nitakusaidia kwa hilo, mmoja wapo ni huyu mganga njaa, anaitwa Shelui
Hivi maana ya Nambalapala ni nini?
Kuna watu hawana uchungu na Tanzania na Raia waishio Tanzania Nikianza na mfano halisi wa Ritz sijawahi kujua huyu ni mtu wa aina gani katika jamii yetu nimefatilia mabandiko yake yananichosha kabisa
Iweje WAFU wameibukia dar???? Nilidhani wameenda kuwazika wafu wenzao!!!!!! By the way, la arusha ni ule mwanzo wa MWISHO WA COCKROACHES IN COMBAT WEAR. STAY TUNED
Taarifa zilizoenea Singida
nzima ni CDM ndio wamefanya Ule ugaidi tena kwa lengo la kupata
umaarufu. Nimemtumia IGP message Kama Lwaks anahisika pia kwani yeye ni
gaidi namba Moja nchini
Aligawa Lwaks nasikia, huyu jamaa ni gaidi
MKUU acha ushamba chadema ni tasisi kamili mikutano yake mingi sio wa arusha tu inakuwa full surveillance ndio utaratibu wa chama katika kuweka kumbumbu nyinyi hamfanyi hivyo kwa kuwa hamkubaliki hamko tayari kuonyesha malori yanavyosomba watu kwenda kwenye mikutano yenu au jinsi watu wanavyowazomea ni wazi uwezi kuweka kumbumbu za aina hii kama wafanyavyo chademakama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
"Legitimacy is a state or government being accepted and recognized by the law and by the people with popular acceptance ,due to its accepted patterns and standards .Such acceptance must base on logical reasoning."
Kimsingi serikali yetu bado ni "legitimate" lakini kuna maeneo kadhaa hapo juu sasa yanatia shaka.
(1)Popular acceptance; Sijui kama kwa sasa ipo tena?
(2)Accepted patterns; Sijui kama hatua zinazochukuliwa na serikali kushughulikia haya mambo ya milipuko na kadhalika kwa sasa zinakubalika na kuwaridhisha walio wengi!
(03)Standards; Sijui kama taarifa zinazotolewa na na serikali kufuatia mambo kadhaa yanayozua taharuki nchini zinakuwa zimekidhi viwango vya kuifanya serikali kujihakikishia kwamba iko "Full legitimate".
Ni bora serikali ikajichunguza na kufikiria haya mambo kwa kina.Isikubali watu wawili tu eti kwa kuwa ni wanachama wa chama chao wakatuvurugia nchi.
kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
hapo sasa mnyika anaonyesha kuchanganyikiwa. kweli akili ndogo huwa na fikra finyu
hawa jamaa kazi ya kuzurura tu. bungeni wamesusia baada ya waziri mgimwa kuwazidi kwa kila angle na sasa wanaamua kuendeleza porojo kwa mambo wanayojua kuwa yametokeaje
Leo Watu wanapigwa Ban, kuweni makini.