notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 452
Iweje WAFU wameibukia dar???? Nilidhani wameenda kuwazika wafu wenzao!!!!!! By the way, la arusha ni ule mwanzo wa MWISHO WA COCKROACHES IN COMBAT WEAR. STAY TUNEDTuko pamoja, tushikamane sana wakati huu, kwani kilichofanyika Arusha ni dalili tosha kwamba CCM sasa wamefikia karibu na Mwisho.
na yale ya jana je yana nini mkuu?Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
Na wewe uliyopewa na shemeji zako akina Mnyika, Mbowe nasikia Mnyika anataka kuoa mdogo wako wa mwisho?
kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
hapo sasa mnyika anaonyesha kuchanganyikiwa. kweli akili ndogo huwa na fikra finyu
Kuna watu hawana uchungu na Tanzania na Raia waishio Tanzania Nikianza na mfano halisi wa Ritz sijawahi kujua huyu ni mtu wa aina gani katika jamii yetu nimefatilia mabandiko yake yananichosha kabisa
Aligawa Lwaks nasikia, huyu jamaa ni gaidi
Mwisho wa CDM una karibia.
Eee bhana kumbe inawezekana kuwa ignore ! Mimi ninao kama Watano hivi , on top of my List yupo huyu Ritz !
Wakati wa tukio la bomu la OLASIT Kardinali Pengo alitueleza kuwa alipewa taarifa na mtu aliyemwamini pasipo shaka kuwa lile bomu halikuwa na uhusiano na udini wa ugaidi.wengi wetu hatukumuelewa na sasa yetu macho na masikio.Asante mnyika kwa taarifa
unaushahidi kama CCM wanahusika???
ukiambiwa ukaisaidie police utakua umeonewa?
fikiri kabla ya kuongea bwana mdogo.
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.