BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Diamond kwenye account yake ya insta amemuumbua mchawi wake jokate... Hahaha
yaah diamond nooooma pia inasemekana ndiyo msanii mwenye DOMO KUBWA KULIKO WOTE AFRIKA kijana yupo juu anazidi kung'ara kili alipataga tuzo 7 akaja akapata 2 na outside alianza na 3 now 1 ni mafanikio pia kutoka nyingi kuja chache....congra dimondd keep it up ila Kiba humuwez hahahahahaaa kiba juu aka mia.
matola bado kalala tuuu.....
yani nisiingie jf kisa?.
Tatizo lenu huwa mnadhani maisha yanaenda kwa kuwaza ujinga mmoja tu.wakati najiunga jf hakukuwa na team.
Hahahahahshshshshshshhhhhj
KUTIKA KWA KING LE MUTUZ
Kinachotokea ni Le mafurikoz hahahsha haters wote gademu kufwa tu mazafantaz
Uchawi tu hapa! Unajua p square mara ya mwisho walipata tuzo lini? Huna unalolijua afu unajichetua.
Uje na Id yako ya siku zote.
Hongera zake Diamond na familia yake. Na sisi mmoja mmoja tuongeze bidii kufikia mafanikio yetu binafsi. Ni hayo tu.
Hahaha leBig show anaumwa lkn ajashindwa kumpost Raisi. Amna raha kama kushinda jaman. Yani tuzo za mtv zimetolewa no malalamiko yoyote sio kama hiz zetu za mlima
LE MAFURIKOZ HAHAHA
Mtajuta na badoo...
Mkuu unajitia upofu kivipi??? that's for Tanzania hukumsikia Raisi wako alichosema bungeni hahaha
Mimi nko salendar toka 11 alfajiri nimeingia gharama y kununua condms plus mafuta y cherehani sioni mtu.....mwenye taarifa anapitia njia gani atujuze mapema
Uchawi tu hapa! Unajua p square mara ya mwisho walipata tuzo lini? Huna unalolijua afu unajichetua.
Uje na Id yako ya siku zote.
LE MAFURIKOZ HAHAHA
Mtajuta na badoo...
Mkuu unajitia upofu kivipi??? that's for Tanzania hukumsikia Raisi wako alichosema bungeni hahaha
Kwa upeo wako wewe, labda mwenzangu ulipata mgao wa Idrisa kutoka BBA.
Am too old for this, akili yangu imejikita kwenye siasa za nchi kwa sasa.
Hongera zake Diamond na familia yake. Na sisi mmoja mmoja tuongeze bidii kufikia mafanikio yetu binafsi. Ni hayo tu.
Ebu pozea na hii kwanza, sie tuko busy kwenye maandalizi ya kumpokea icon wetu
Achana na akili ndogo hao kala magimbi yake anakuja kuandika uhar 0 hapa. Diamond ndio tuzo yake yakwanza ya MTv na nadhani ndio tuzo yakwanza ya mtv Tanzania correct me if am wrong.
Na tshirt tushachapisha mpaka madera watu woyooooooo.....tutambeba juu juu!!