Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Naona domo ana behave accordingly, just like a Star and a realman....Zari akikosea tu akaja kuachana na huyu, maisha yake yote atanyanyasika.
 
Mkuu amepotea kabisa au yupo na supportive ID nin?? hahaha

hajahajahajahajaaaaaa!!!habari nzuri saa hiziii
Marudio ya MTvMAMA ni saa saba kamili,MTV base wanarudia naaangalia tena shangwe la jana woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
 
Naona domo ana behave accordingly, just like a Star and a realman....Zari akikosea tu akaja kuachana na huyu, maisha yake yote atanyanyasika.

Team kiba mmebugi meeeen hahahaha king ana hali mbaya sana kwakweli embu nenda insta kamfariji kidogo maana team chibu hawana huruma kabisa kiba anakula za usoo

Wapi team ukawa hahahahahaha
 
Akaungana na zingifuri teh, wakati ye alivopata dili ya wachina dai akapost kumpa hongera, alivotoa wimbo wake dai akapost tena kumpa hongera....
nimependa kwakweli

Dai kamsupport sana Kidoti, ye alijua wameachana kishkaji kumbe kisichana kile hakikuridhika! Kinafiki kidada kile! Pytuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…