Wakuu tiliopo dar kuna shortage kidogo hapa tunaukosefu wa pikipiki tatu kwaajili ya nduguzetu kutoka team kiba ambao wameona ni busara kujumuika na sisi kwenda kumpokea airport abou sydou nitampa yangu bado pwilo na Shardcole
cute b mbishi eti na yeye anayaka yake anaweza kuendesha hahhaha huyu nitakuwanae mimi front line
piga keleleeeeeeeeee
Hail to the king of Afro pop
Usiku kucha hujalala cute b.... Umepanic na huamini kama diamond kashinda Mtv...
Karibu supu upunguze stress za kulinda tembo
Hebu aoneshe hizo pmb sie tulale make tumekeshaHhahaa thubutuuu anaweza kutembea uchi huyo hahahah.
Platnumz kamfanya ale maneno yake.hahabab
Ha ha ha ha anajua anangiri kwanini alitutangazia show, tunataka hivo hivoLabda anasubiri mchana mchana jua litokeee, asubuhi baridi asije kuchokoza ngiri vikaingia ndani tukakosa show sieee....Watu wameamuaa
Shardcole ishu itakua sa ngapi jombaaa tunangoja
wapo tuu tena allykibaka amewatilia mikosi sana wenzake Vanessa na Chameleone!!yeye na tuzo za kimataifa wapi na wapi mpaka ajifanye kuwapigia promo??nuksi tu na mikosi amewapa wenzie bora angefunga kibakuli chake tu labda watu wangeshinda
Akikwambia mida anayopita niambie nikamshuhudie
Wanafik hamkumpigia kura au?? Nyie si mlisema mnampigia kura davido na vanesa mdee??
laivu ya nini hiyo? he is a best looser
Watu kwa kuchangamkia fursa wapo vizuri, wanataka wakampasulie yaiWa2 wanamsubiria na mafuta y cherehani wampe raha
Najitolea vinegar dozen moja kwa kila mfuasi wa team kiba....inaondoa kichefuchefu fasta kuliko ndimu,pia vinegar inatibu minyoo,kukuza hips,kutoa michirizi.
Pia inasaidia kumfanya landlord wko asikufukuze kwenye nyumba yke hata kma hujalipa kodi ya miaka 2
Special for wachawi, wenye vichefuchefu vyao, walochefukwa baada ya platinumz kuchukua tuzoView attachment 269225
Hapana, ni mdogo wako....huyu mtoto wa diamond?