Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Team kiba wabahorojoka si kidogo washapanic na kukategorize tuzo za MTV eti kuna ya heshima na isiyo ya heshima hawa ni wa kuwaobea huruma tu huo uheshima wa tuzo anaujua mmoja ila kwa MTV tuzo zote ni class moja.
 
: Zamani ukiwa nje ya nchi ilikuwa shida kidogo kuelewesha mtu natokea Tanzania labda useme mt. kilimanjaro

Sikuhizi aaaaaah ICON tunae ukisema Diamondplatnumz unapigwa na bia moja watu weweeeeeeeeee hail to the king of Afropop and best performer all over the continent
 

Hahahah kijeshijeshi tunasemaga" wazi afandeeeeeee!!!!!"
 

Na kweli tumejua mkuu!!!!!!!
 

yes mkuuuu....
 
Wakuu Vanessa mdee kaniharbia siku, yani analia kisa kukosa tuzo? Mbona Mondy 2010 alipokosa tuzo mtv hakulia. Hii ni aibu sana sasa alitaka ashindane na Yemi Alade kweli

Wanafik hamkumpigia kura au?? Nyie si mlisema mnampigia kura davido na vanesa mdee??
 
Mkuu ulivosema diamond kaibuka kidedea nikadhani amechukua tuzo kama NNE hivii
 
Wakuu tiliopo dar kuna shortage kidogo hapa tunaukosefu wa pikipiki tatu kwaajili ya nduguzetu kutoka team kiba ambao wameona ni busara kujumuika na sisi kwenda kumpokea airport abou sydou nitampa yangu bado pwilo na Shardcole
cute b mbishi eti na yeye anayaka yake anaweza kuendesha hahhaha huyu nitakuwanae mimi front line

piga keleleeeeeeeeee
Hail to the king of Afro pop
 
Last edited by a moderator:

Kwani wale wanyaji wako wapi? ??????😂😂😂😂
Nimetoka church nataka kuona mafii ya watu wazima. Na yule wakutembeza kitako posta yuko wapiiiiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…