Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Mkuu shikilia hayo mashavu vizuri.... alafu usikunje ndita banaaaa yaah smile kidogo mchumba asije akakukimbia...
Aya mwanamuziki bora wa kiume ni davido afrika nzima.
Anaiwakilisha Africa vyema...
Uzalendo hoyeeeeeeeeee
halafu nakumiss nipe hata salamu basi
 
Kuna watu wana Roho ngumu jamani khaaaa kweli Tanzania kuna maajabu eti shabiki wa alikiba bila aibu anakuja hapa kumlinganisha na diamond kiba mwenye Alisha sema jamaa simuezi.......anyway MFA maji haishi kutapa tapa
 
We jamaa unaakili saana
Tuzo za mbuluraa waachie mituzo yao ya kinafiki
mkuu kumbe na ww unazipinga ktma sasa domo alivyochukua c hata belle 9 alilamika au co msanii tatizo jamaa anataka aone kila kitu anaonewa mbona rich mavoko yupo cool na ktma ndo zilimfanya awe famous pia zaid
 


Ni kweli kabisa..
 
Yani diamond asingechukua tuzo cjui haters wangeongea sana!Mbona vanesa hajachukua na mmepigia kura kweli na hamumpondi!Acheni unafiki na roho za chuki nyie team kiba!Diamond peke yake ndo ameweza kuiwakilisha vyema east africa!!Big up to Diamond Icon wa tanzania!!KTMA wajifunze kitu kwe hizi tuzo za mtv!wasiwe mashabiki maandazi tu peke yake wa kuamua mshindi!!
 
mkuu kumbe na ww unazipinga ktma sasa domo alivyochukua c hata belle 9 alilamika au co msanii tatizo jamaa anataka aone kila kitu anaonewa mbona rich mavoko yupo cool na ktma ndo zilimfanya awe famous pia zaid

Mkuu tuzo zakili ukichukua ndio nzuri mwaka ukikosa bhasiii ni mbaya mkuuuuu.. pwilo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…