Live updates: MTVMAMA Awards 2015!


Khe khe kheeeeeee hahahahaaaaaAaa..
Best male ni DAVIDO JAMANII.
MIMI NI TEAM MUZIKI MUZURI
 
Kwa tuzo hizi kwa ukanda wa afrika mashariki kachukua mtu mmoja, bado anapigwa madongo, waangalie nigeria nchi moja imebeba ngapi? Ndipo utajua tunasafari ndefu. Tuongezeni wasanii wengi kimataifa na sio kupunguza hicho kimoja tulichonacho
 
Jamaniii hadi hurumaaaa, Sa matusi ya niii ndo # Msiyempenda kashindaaaaaa, jua halizibwi kwa ungoooo.....Wapi Ndovuuuuuu

ahahahahaaaaaaaa!!!wamepagawaaaaa....yamewafika hapaaaaa!leo tuwapotezeee aiseee maana tumeshindaaaa!kuna mazuri mengi yanakuja naona wanataka mtu aende ban sasa mie kwa leo hawanipati may next timeeee
 
vigezo gani kutumia kumpata mtumbuizaji bora?
 
 
Ahhahaaaaaaaa pole zako tena pole sanaaaaaa!!!ngoja nikuignore maana nikianza kukutandika matusi yangu nitaishia ban ya wiki mbili na zaidi wakati nashangalia ushindi

good night loooser

Wasssssafiii, achana nae asituharibie shughuliii ...shangwe hadi asubuhiiii...
 
Eti nkumbusheni, kwenye KTMA mnenguaji bora alichukua nani vile?

Alichukua bwana tembo afisa wa mambo flani ya ivory ambae hadi Leo video yke haijawahi onekana mtv base n kule trace wanaipigaga mida saa nane au Tisa ucku cku izi
 
Mkuu umevurugwa sasa tuzo ya mnenguaji bora..anachukua muimbaji bora...
Mjin.ga sana wewe..

Naandika bila kuogopa MJINGA MWENYEWE
Kiba alichukua tuzo ya MTUMBUIZAJI BORA
Mnenguaji yupo Tandale
 
Best male Afrika nzima ni davido yaani hakunaga kama davido.
Tuzo ya maaana

Tatizo lako ni moja tu.. Moja pekee..

Unapenda kujifanya unajua mambo wakati hujui chochote.. Siongelei hapa kwenye mziki pekee, hapana michango yako mingi humu JF ni mtu ambaye hujui vitu ila unaforce kujifanya unavijua. Tatizo lingine kubwa ni kwamba hatukuambiagi tu, ila from now onwards itabidi tuwe tunakwambia ukweli.. teh teh
 
So diamond kapata pesa ya show na pesa ya tuzo maisha yanenda na hapigi show chini ya 15 milioni kwenda south kaenda bure kwa fastjet maisha ya kule MTV wanagharamia kila kitu bureeee daaaah life iz not fair wakati mwingine awaza kupromote show ya Kigali ayaaaaaaaaaa......we saka pesa kaka mondi
 

We jamaa unaakili saana
Tuzo za mbuluraa waachie mituzo yao ya kinafiki
 
Kuna mwwnye uhitaji wa ndimu??? pwilo cute b

Asa kumbe anastahili...!!

umefurahi au umechukia japokuwa najua unabanwa na mavi kutokana kubana nya kwa muda mtefu


Getarrraaaaahia yo just a looser.gud for nothing

Anabanwa na kimba huyu jamani.. Msameheni bure

Pilau lote ulilokula lazima uharishe.. Maana digestion ishaharibiwa kabisa na ishindi wa Dai... Poleee mamaa uparato unakubana

Nasema hiviiii.
Tuzo ni kama madini zimetofautiana hadhi...
Hadhi ya DOMO NI KUNENGUA TUU HAMNA NAMNA.
DAVIDO NI MWANAMUZIKI BORA NDO MAANA DAI ALILIJUA HILO MAPEMA AKAWAHI ILI ATOKE KIMATAIFA.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…