Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Mwache alie kazoea vya mtelezo huyo, heri kidogo hata Mondy juhud huwa anaonesha at least japo hata naye kabebwa lakin atleast anajitahid kutembelea nyota za wanaija. Lakin sio huyo vanesa mnayempa kichwa bure.
Ha ha ha uzalendo umeuanza lini mamito mbona unajitutumua hivo lolKwani sio mtanzania?
Hivi huwa mpoje?
Tukitoa hongera maneno, yani nyie kweli waswahili!
Huyo ni mwafrika mwenzangu kama wewe
Ahahahahahaa endelea tu kujipooza machungu maana leo hali ni mbaya sana kwako
Hiyo moja niushindi mkubwasana kwetu jamani,Wale wa WEST sio wa kuchezea diamond anafuraha mpaka anakosa cha kusema ikabidi aongeekiswahili tu
Mwache alie kazoea vya mtelezo huyo, heri kidogo hata Mondy juhud huwa anaonesha at least japo hata naye kabebwa lakin atleast anajitahid kutembelea nyota za wanaija. Lakin sio huyo vanesa mnayempa kichwa bure.
Mwache alie kazoea vya mtelezo huyo, heri kidogo hata Mondy juhud huwa anaonesha at least japo hata naye kabebwa lakin atleast anajitahid kutembelea nyota za wanaija. Lakin sio huyo vanesa mnayempa kichwa bure.
Dbanj,davido and uhuru kwa stage nowwww--fall in love
Duuuuuuuuuuuu, we kiumbe una hatari. Hadi Vanessa unamdiss? Nimeshagundua unapenda ligi.