Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Searches na hashtag ni kura??

kwa upande wa evolution upigajikura ulikuwa kwa hashtags na website but kwa urahisi wa kuweka hashtag ni asilimia kubwa walifanya hivyo,..

Ndio ubora na heshima ya tuzo unapokuja kwamba tunawasaidia kufanya maamuzi ila wao ndio final ndio maana mtu anaweza asiombe kura akashinda.. pongezi zao kwa hili
 
Back
Top Bottom