Hapo ndipo unaonekana umuhimu wa kuwa na watu wengi wanaofanya vizuri kwenye industry. Sitegemei kama msanii wa nigeria atatajwa kuwa katokea Angola! Kwasababu wameshajibrand na wanajulikana sana.

mwenzako mpaka natetemeka kwa furaha moyo ti ti ti tiiiiii, diamond hujawahi kuniangusha nami sitakaa nikusaliti daima loooh!!!! sio kwa kunifurahisha hivi wewe dangote weweeee.