Mwaka 2015 CCM huko wataapata viti kweli kama hali yenyewe ndiyo hiyo?
Tuko pamoja maana daima haki hushinda dhuluma c.c.yem na shetani wao sisi na mungu aliye hai.
Viva ukawa.
Cc'nape,mwanadiwani.
huko wamejikomboa kitambo sana , bado chalinze na iramba tu .