Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,322
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
kwani rais wako kikwete alikuwaje mwaka 2005? Je na yule mgombea wa kudumu wa chama cha waliberali vipi?
Naamu kama mnavyoona wadau wanazidi kutiririka
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Naamu salaam hii
pamoja kamanda
dogo nimekubali, umetaka kusababisha kifo kwa rafiki yangu gamba moja limeanguka na kuzirai, kwani hakuamini suhemu ambayo kinana ametoka hivi karibuni kupata nyomi ya nguvu hivi bila kuwepo diamond au nanii vile na-upe. Sasa ndo natoka kumpeleka hospitali. Endele kuleta mambo dogo
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Baada ya kukamilika kwa mahafali ya CHASO ambapo Rai.s Dr. Slaa alitunuku nishani na vyeti kwa wahitimu 183 wa Wanachama wa CHADEMA, kwa takribani saa moja sasa Barabara za mitaa ya manispaa ya Morogoro zimefungwa kupisha msafara WA magari na maandamano ya kuelekea vilipo viwanja vya mkutano. Viwanja vya sabasaba vimejaa tangu saa saba. Nitaleta picha
Una bahati mbaya kuzaliwa na changudoa, hivyo umekosa malezi mema, pole sana.
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.