Live updates: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya Dr Slaa - Mbeya

Live updates: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya Dr Slaa - Mbeya

Hana jipya huyo mzee, amekua katuni siku hizi ndio maana watoto wanajazana kumuona

Acha kujitoa ufahamu watoto wapo wapi hapo au ndio uchizi unaanza taratibu njoo ufanyiwe maombi hujachelewa bado.
 
Anyway nisingependa sana malumbano na wewe kwenye hili ila nilikupa angalizo tu kwa mbegu unayopandikiza kwa watanzania.
lakini hata hizo ahadi labda kama ni zingine ambazo sikuzisikia lakini kama ni zile walizoahidi hata mimi nilizisikia. na ndo hicho nilichokueleza, kwa maana oppotunity ikitokea watapata. hata mimi nina majirani ambao watoto wao wamepata ajira ya upoliccm. lakini sio kwa huo uchochezi unaouleta.
labda nikuachie tafakuri ndogo tu. jiulize hao wote wanaomaliza JKT kila mwaka wanaweza kuajiriwa na serikali? kwa kazi ipi?
Kwa heri chakaza na jumapili nje,a.

Iwe njema kwako pia. Nadhani tuko pamoja katika jambo fulani, kosa ni pale ulipoona kuwa mie ni mchochezi. Ndugu yangu, mie nachukizwa sana nionapo mtoto wa mwenzangu eti akamatwe na kuteswa na kutupwa porini hata kama anachokipigania sio sawa. Wanapaswa kuelimishwa tuu na sio matendo ya kimafia. Hayo yanapaswa kufanywa na makundi ya kigaidi na sio vyombo vyetu vya umma.
Asante na kwaheri.
 
tafadhali ieleweke sikubaliani kabisa na utekaji na utesaji wa watu. nadiriki kusema ni upumbavu uliopitiliza. tunahitaji kuishi kwenye dunia salama na siyo ya ugaidi.

Back
Top Bottom