Live updates: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya Dr Slaa - Mbeya

Live updates: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya Dr Slaa - Mbeya

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

hiyo nyomi noma. ccm tumbo moto
 
Hivi huko Mbeya ameenda na Joyce Mukya ama na mama Liliani Mtei?
Wewe kweli Hot lady! Wenzako kwa huo u-hot wameambulia uDC wewe unahongwa bia kisha unatuletea maandiko yako ya kilevi! Kweli wewe ni janga.
 
hongera kamanda mohamed mtoi endelea kutujuza tupate update muda huu.
 
Mkuu MOH.Nakuomba uwe unawakumbusha wenzio kua mikusanyiko mikubwa namna hii mnapohutubia watu wengi kwa maelfu hivi ujumbe namba moja uwe ni kumtaka kila mmoja hapo ni lazima AWE AMEJIANDIKISHA KUPIGA KURA na siku ya kupiga kura asiache kupiga kura ya kuchagua vyama vya UKAWA.Kujiandikasha iwe ndio kauli mbiu ya kila mkutano wa namna hii kwa wana UKAWA.watu wadai hakii hii kwa gharama yeyote.Fikisha ujumbe huu kwa kila ufanyikapo mkusanyiko mkubwa nanma hii kwa nchi nzima.
 
Fahamuni watz ccm iliondoka mda mfupi baada ya nyerere kufariki hawa waliopo hawana uchungu na wananchi tufanye mageuzi tulinde mali za nchi yetu
 
Back
Top Bottom