Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Hakuna mahali nimesema Misri na Syria ni alama ya dini ya kiislamu, hayo umetunga wewe,

Hebu nifahamishe ni wapi CHADEMA;

:Wameiga mataifa mengine,
:Wameshindwa kuheshimu mila, tamaduni na imani za watanzania?
Red Brigade asili yake wapi? maandamo kwa kigezo cha nguvu ya umma? Kuhusu mila,tamaduni na imani liko wazi kwa kila mtanzania mwenye upeo mkubwa wa kufikiri.Zitto aliitwa wakuja alipotumia haki yake kugombea uenyekiti taifa,Habibu Mchange alipewa kesi ya rushwa alipogombea uongozi Bavicha,Ukiwa kiongozi na ukatoka kaskazini utaudhuria vikao vya kamati kuu hata kama wewe sio mjumbe na mengine mengi nikiyataja nitajaza kurasa ebu jikumbushie mwenyewe.
 
Mbowe anasema tendwa hawezi kuifuta chadema. Anawaambia waandishi wamwambie.
 
upo pamoja makamanda tunaendelea kuwaombea katka safari hi ya kulkomboa taifa, tumechoshwa na ufisadi wa CCM..tulianza na MUNGU tutamalza na mungu.
 
Anazungumzia red brigade vijana wanashangilia wataka kujiunga
Mbowe akiwa kwao anahubiri elimu na maendeleo kwa vijana wake hapa anawafanya wangoni wapumbavu anawaamasisha washiriki vurugu ili wapate ulemavu kama sio kifo
 
Kwa watu hawa wachache sijui kama hata laki moja leo itapatikana mkiwachangisha
 
Peoplessssss Powerrrrrrrrrrrrrr. Watakwisha MAGAMBA mwaka huu Kabla hata wakati wao haujafika haaa haaaaaa haaaaaaa RAHAAAAAAAA
 
Mbowe akiwa kwao anahubiri elimu na maendeleo kwa vijana wake hapa anawafanya wangoni wapumbavu anawaamasisha washiriki vurugu ili wapate ulemavu kama sio kifo

Hivi wewe Mingoi umefunga kweli au unatuzuga tu? haya maneno ya uchochezi na chuki za kikabila hayafai kabisa kuandikwa na muislamu tena aliye katika funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…