Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 775
Sijakupania mwana ila najaribu kukuelimisha kidogo.mkuu sijamkejeli mtu ila namuomba radhi kwa kuwa post yangu ilimvurugia ibada yake ya toba!sasa wapi nimeleta mahoka?nafikiri wewe unataka kunichonganisha tu na members wa humu ndani !then naona leo umenipania sanaaaa
2015 nchimbi hana chake hapa songea mjini, kwa upande wa madiwani hapa mjini tulishamaliza kazi!! Tunasonga mbele, haturudi nyuma kamwe.
Leteni updates makamanda...
songeaHapa wapi Mbulu au Dongobesh?
Ufahamu wa watu na imani zao unakupa shida,Misri na Syria si alama ya dini ya kiislam,Ni vyema Chadema kabla kukimbilia kuiga nchi nyengine mkafahmu na kuheshimu mila,desturi na imani za watanzania.Katika hili la ramadhan mnatoa mfano wa nchi zenye waislam lakini linapokuja suala la kuanzisha Red Brigade mnaikana ile ya kigaidi nchini Italy.Mnapojaribu kueneza uongo na propaganda wekeni kumbukumbu zenu vizuri kwani watanzania sio wajinga.Usikimbie hoja, hao watanzania wamefanya nini cha kutoheshimu mwezi mtukufu. Syria na Misri ndio wameshindwa kuheshimu.
ha ha haaa!magamba mmekula kichapo cha mbwa mwizi Arusha,bado mnajitutumua?Hakuna picha. Mkutano umehudhuriwa na watu wawili (2) tu.
songea
Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.
Ufahamu wa watu na imani zao unakupa shida,Misri na Syria si alama ya dini ya kiislam,Ni vyema Chadema kabla kukimbilia kuiga nchi nyengine mkafahmu na kuheshimu mila,desturi na imani za watanzania.Katika hili la ramadhan mnatoa mfano wa nchi zenye waislam lakini linapokuja suala la kuanzisha Red Brigade mnaikana ile ya kigaidi nchini Italy.Mnapojaribu kueneza uongo na propaganda wekeni kumbukumbu zenu vizuri kwani watanzania sio wajinga.
M4C aluta continua,nyinyiemu chupi zimelowana hapo
Wewe haupo mkutanoni usituchanganyi kama huna cha kusema kaa imyaUfahamu wa watu na imani zao unakupa shida,Misri na Syria si alama ya dini ya kiislam,Ni vyema Chadema kabla kukimbilia kuiga nchi nyengine mkafahmu na kuheshimu mila,desturi na imani za watanzania.Katika hili la ramadhan mnatoa mfano wa nchi zenye waislam lakini linapokuja suala la kuanzisha Red Brigade mnaikana ile ya kigaidi nchini Italy.Mnapojaribu kueneza uongo na propaganda wekeni kumbukumbu zenu vizuri kwani watanzania sio wajinga.
CDM mna nafasi ya kunyakua jimbo la songea mjini uchaguzi ujao. Hata uchaguzi uliopita mlishinda; ila kura hazikulindwa. Mkaruhusu wapambe wa nchimbi kuchakachua kiulaini. Imarisheni inteligensia.
Sijakuelewa msingi wa kuitaja Syria na Misri,hapa ninazungumzia Tanzania na watanzania.