Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Hadi wakae
Nimeipenda sana hii.
Hadi wakae
Kwani kipindi cha mwezi mtukufu shughuli inabidi zisimame?Chadema hawaheshimu hata mwezi mtukufu
hapana mkuu mimi nilikuwa na mpa changamoto ya siasa zetu!simtishiii wala hakuna mtun yeyote aliyenituma ha JF Nachangia kwa utashi wangu binafsi
pole kama nimekukwaza mkuu
Chadema hawaheshimu hata mwezi mtukufu
Hili ni swali au jibu?Kwani kipindi cha mwezi mtukufu shughuli inabidi zisimame?
mohamedimtoi hivi wewe u nani chadema!maaana nawajua kuna vijana wengi walikuwa busy na chadema mwisho wa siku wanatupa kule bila ya msaada wowote na kushauri achana na siasa maji taka zitakupotezea muda!
case study: wapi alipo ludovick joseph,henry kilewo,dady igogo etc! take care bwana mdogo
Sijakuelewa msingi wa kuitaja Syria na Misri,hapa ninazungumzia Tanzania na watanzania.Wapi kwenye maandiko imezuiliwa kufanya shughuli za kisiasa mwezi mtukufu?
Ungewakemea Syria na Misri ningekuelewa.
ningekwambia ila sheria za JF haziruhusu kuongelea mambo ya watu public,ila mcheki facebook nimechat nae this morning! i appreciate him ni moja kati ya hazina kubwa kwa taifa ila sio BAVICHAMkuu Obama wa bongo, hebu niambie ni kipi kimempata Dady Igogo? Yuko wapi kwa sasa? Huyu jamaa yangu sijamsikia siku nyingi.
Tiba
Acha hadithi, weka ushahidiUtatafuta pakutokea kama mwenzako Yericko Nyerere, huwa sikisii mimi.
Acheni kuchafua dini zisizowahusu, kwani Mwezi mtukufu ni kwa ajili ya kufanya tafakuri ya kina , na Chadema wanafanya tafakuri kuhusu Taifa ,Chadema hawaheshimu hata mwezi mtukufu
DUH! pole mkuu kwa kukatiza ibada yako ya swaumu,ila hapa tunajadiliana kwa hoja sio kwa vurugu!Ninalaumu sana kusitishwa kwa JKT kwa mujibu wa sheria toka miaka ya 90. Matatizo yake ndo haya, watu wanawaza msaada msaada. Mtoi hahitaji kusaidiwa na CHADEMA, yeye ndiyo anawasaidia walalahoi kupitia CHADEMA. Na wewe hujakatazwa kuwasaidia mafisadi kupitia ccm. Umenifanya nikafungua kwa ajili yako lkn inshallah nitalipia
Updates ni kuwa mkutano umepigwa marufuku na kamanda wa polisi mkoa. Kule Songea watu hawataki kupoteza maisha kwa mabomu ya kujilipua wenyewe.
ningekwambia ila sheria za JF haziruhusu kuongelea mambo ya watu public,ila mcheki facebook nimechat nae this morning! i appreciate him ni moja kati ya hazina kubwa kwa taifa ila sio BAVICHA
Naomba unijibu straight forward. Kwani kipindi cha mwezi mtukufu shughuli inabidi zisimame?Hili ni swali au jibu?
Mkirua upo,
Nimefurahi hayo majina ya songea.bomba2 matogolo,kilangajuu,losaboni nk
Nimekuelewa,tunajua mpo hapa,kitu muhimu mjaribu kuwa na uono wa jicho la tatu,hata mkiwa na hao baba zenu wapeni na ushauri kuwa wanayoyafanya sio mazuri,kwani nyie na familia zenu mtaishi peponi?nikimaanisha kuwa mnaishi na sisi hata kama ni Oysterbay,Masaki,Tandika au Mbagala,na pia hamtakaa maisha kwenye hizo nafasi zenu,hata kiwango cha maisha kuna siku kitabadilika,wajukuuu wenu watakuja kusoma na wajukuu wetu,kuweni makini sana!hapana mkuu mimi nilikuwa na mpa changamoto ya siasa zetu!simtishiii wala hakuna mtun yeyote aliyenituma ha JF Nachangia kwa utashi wangu binafsi
pole kama nimekukwaza mkuu