Mkuu tumekusoma!, pamoja sana. mie nimeanza kutafuta wanachama wapya baada ya kumaliza kadegree kangu huko mtwara. niko hapa itumbiko wilaya mpya ya kakonko kigoma
umedhihirisha wazi kuwa 99% ya chama tawala hawajui kusoma wala kuandika, hatakama unatumia elimu ya watu wazima haiwezekani usione tarehe kwene pcha ya mwsho.
kama watetezi wa CCM ni hawa na hoja zao ni hz basi sna budi kumuunga mkono kamanda Yericko Nyerere kuhusu anguko kuu la CCM.Ujinga unyayoni mpaka unyweleni
kama watetezi wa CCM ni hawa na hoja zao ni hz basi sna budi kumuunga mkono kamanda Yericko Nyerere kuhusu anguko kuu la CCM.Ujinga unyayoni mpaka unyweleni
Jiulize hiyo Chadema inapendwa sana na kabila gani hapa nchini. Halafu kama niambie CCM nayo inapendwa na kundi moja au na nchi nzima. Ukipata jibu kaa nalo mwenyewe.
Ni vizuri pia kuwa na wajinga kama wewe ambao maneno ya kikabila hayawatoki kinywani!
Ni bahati nzuri kwamba wananchi waliomaliza STD VII wanapembua kuliko nyie wa BODI YA MIKOPO!