Hawa makamanda makamasi noma sana
Lakini mkuu Mwana Diwani inabidi tuishauri serikali ifungue hospitali maalumu ya kutibu magonjwa ya moyo na depression kwani nina uhakika mwaka 2015 Makamanda wengi watajirusha kutoka ghorofa ya kwanza na kujiua kama sio kupata mshtuko wa moyo au zubaiko la akili
Wanadai wanataka kulikomboa taifa kutoka kwa mkoloni mweusi.Mkubwa ninachoogopa ni baada ya 2015 hawa vijana watafanya nini kwani wengi watakuwa wameisha kata tamaa ya maisha
Inabidi serikali ijiandae na mlipuko wa watu kujinyonga
Kinana amekagua barabara mbalimbali zinazoendelea kujengwa kuunganisha mkoa wa moro na mikoa mingine
Tumewasomba wanachama wa CHADMA kama 700 na ushee!tukitoka hapa kanda ya kati!CHADMA hawana chao
Mkubwa kama mimi ni kichaa, na ukichaa wangu niliweza kuwachorea mlango wasomi wote uk wakaugombania , basi kichaa changu kinafaa sana inabidi ufanye mbinu nikuambukize.kwanini usihisii serikari ifungue hospitali ya wagonjwa wa vichaa, vichaa kama wewe utibiwe hapahapa nchini
Wanadai wanataka kulikomboa taifa kutoka kwa mkoloni mweusi.
Yaani wao wanaona bora mkoloni mweupe atawale kuliko mkoloni mweusi. hii inatokana na historical mentality ya kiongozi mwanzilishi wa chama.
Ukiwauliza, CHADEMA inasemaje juu ya siasa ya ujamaa na kujitegemea kama ilivyo kwenye katiba kwa sababu katika hadidu za rejea ni swala ambalo nila msingi. jibu nila kusua sua. Zaidi zaidi utaambiwa CHADEMA iko kwenye mlengo wa kati. Maana yake nini? na ina imply nini kwenye siasa ya ujamaa na kujitegemea?. Jibu ni sawa na winning lottery.
Mkubwa kama mimi ni kichaa, na ukichaa wangu niliweza kuwachorea mlango wasomi wote uk wakaugombania , basi kichaa changu kinafaa sana inabidi ufanye mbinu nikuambukize.
Pia ukumbuke yule paulina anayejiita Dr ambaye ndiuo alikuja na hilo neno kichaa yeye mwenyewe anatia adabu hapa
Mimi ni sawa na huyo Dj mnayemuabudu, gwanda wee!
Fine!Ujamaa na kujitegemea unaelezwa kimatendo na Serikali ya Magamba....yaani ni kuwa na madeni kuzidi hata bajeti yako ya nchi...na kuishi kwa kutegemea misaada....
Huu ndio ujamaa na kujitegemea wa CCM!
waacheni CCM watimize majukumu yao , mnawashwa nn?kwani nyie mikutano yenu c imeejaa matusi kwa viongozi wa kitaifa?
Sikatai Mrema alikuwa na nguvu sana na bila kuingia Mwl Nyerere mchuano ungekuwa mkali lakini ni sehemu ya CCM na Kinana ndie alieongoza kampeni,
Anyway wewe kinakuuma nini ya upande wetu? nyie endeleeni kushughulikia suala la Lwakatare
Kwanza nimeanza kuamini kuwa kwa namna moja au nyingine suala la Uli mnahusika, Ningekuwa bado kwenye kazi yangu ya zamani lazima ningeomba nimweo kwenye timu inayopeleleza hii kesi....
Fine!
Tueleze basi pia Ujamaa na Kujitegemea wa CHADEMA ukoje?
CCM inashinda 2015 kwa kishindo sana na hii inatokana na timu waliounda. CCM itashinda tena sana.
CCM ni chama kilichopoteza mvuto kwa wananchi wanaojitambua na kuona visivyoonekana ukivaa kapelo ya manjano na kijani.
Hawaamini macho yao kwa vile wengi wao wamejazwa daydream. CCM inasonga mbele kuelekea general election 2015 wakati wao wanahangaika na kusoma picha za mikutano.
CCM inakwenda door to door, mtaa kwa mtaa, kijiji kwa kijiji, kata, tarafa, wilaya na mkoa kwa mkoa.
Yaani Kinana anawatoa kamasi tu katika ziara zake za miakoa miwili tangu awe katibu mkuu.
Kibanda alishawaambia kuhusiana na uongozi wa Kinana wakamwona ni kibaraka.
YANATIMIA. OPEN YOUR EYES GUYS.
mbona unakasirika mkuu ukweli unauma eeWee unat... a nini?
Unawafahamu wazazi wangu? unajua maana ya neno masikini.
Usinifanye nipate ban hapa ..@?"3 sana wee