LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Kwa hiyo unataka niwe Mother Theresa?. We vipi bana.
Kama unaota chama cha siasa kitakuja kukubadilishia maisha, endelea kuishikilia ndoto yako na utakufa maskini.

Ushauri wangu kwako, Chama kitakachokuondoa kwenye dimbwi la ufukara ni kufanya kazi kwa juhudi na maalifa.
 
Bora ya CCM inamlipa msanii kuliko nyie mnaolipa watu waende kuua wauza magazeti kwenye mikutano yenu.

Una Uhakika HUO? Sasa ni Serikali ya nani ilimlipua MWANGOSI? ni Nani aliyemtoa Makucha na Meno yule Daktari wa Muhimbili? na kinachoshangaza ni kuwa Hakuna KESI zao MAHAKAMANI - Haya kuna MWANDISHI wa MTANZANIA aliyofyatuliwa RISASI JICHONI na kuvunjwa kucha hapo ni CHAMA na Serikali ya nani ilifanya hivyo? na MBONA Nape Nnauye alivyotaka kwenda kumtembelea HOSPITALINI Mgonjwa aligoma kuonana na huyo NAPE NNAUYE? hivi ni kwasababu ya MADUDU aliyoandika kwenye FACEBOOK page yake????

Na cha kushangaza ni kuwa VIONGOZI wa SERIKALI Tawala hawajui DEFINITION ya GAIDI... Inasikitisha kweli...
 

Kwa hayo maswali uliyoniuliza, nina uhakika ikitokea mke/mume wako "katembea nje" utaniuliza "Aliyesababisha mke/mume wangu atembee nje ni nani kama siyo serikali?".
 
Kwa hayo maswali uliyoniuliza, nina uhakika ikitokea mke/mume wako "katembea nje" utaniuliza "Aliyesababisha mke/mume wangu atembee nje ni nani kama siyo serikali?".

Kwanini Umeruka na kuingia kwenye FAMILIA? was it difficult? or Just it involves Secret POLICE run by the CCM GVT? Kwasababu Ghafla Umeruka Majibu?

**** As they always say COWARDS DIE MANY TIMES BEFORE THEIR DEATHS....
 
Ccm mmepanic hamna lolote sa hivi





CHADEMA INAWAUMIZA SA HIVI CHECK HAPO
 

SUMU naona umeshaingia shift ya usiku.Bora msaidiane kwa7bu mna hali mbaya sana.Naona ccm fiesta imeshaanza.kesho mtakua wapi na timu yenu ya wasanii.
 
Diamond ndio alifunika leo morogoro na cdm kama vile walikuwa wanamkutano moro hotuba yote ya kinana ni cdm.mnajitahidi kuanzisha thread nyingi lakini mmekula za uso ccm.
 
Ukiangalia kwa makini hizi picha utaona kuwa mkutano wa ccm umejaa watoto ambao walikwenda kumchek nasb diamond lakini ule wa chadema wamejaa watu wazima ambao ndio wapiga kura..........................
 
Kwa hiyo hao wanawake wapaka mkorogo ndio watu zaidi yai wengine Kinana analokubwa sana la kujifunza kwenye mkutano wa leo Morogoro ni mkutano umeleta wajumbe na mabasi ya Abood toka sehemu mbalimbali za mkoa wa morogoro hilo tu la kufanya maandalizi ya kusomba watu ni funzo tosha Tanzania ina vijana kwa aslimia 71 ndio uwaonao, wewe mwenyewe ni kijana unapambana hapa mlete kigunge tuone usidharau mwiba hapo vipi?
 
R.I.P chadema
Hawaamini macho yao kwa vile wengi wao wamejazwa daydream. CCM inasonga mbele kuelekea general election 2015 wakati wao wanahangaika na kusoma picha za mikutano.

CCM inakwenda door to door, mtaa kwa mtaa, kijiji kwa kijiji, kata, tarafa, wilaya na mkoa kwa mkoa.

Yaani Kinana anawatoa kamasi tu katika ziara zake za miakoa miwili tangu awe katibu mkuu.

Kibanda alishawaambia kuhusiana na uongozi wa Kinana wakamwona ni kibaraka.

YANATIMIA. OPEN YOUR EYES GUYS.
 
Chadema hawana ujanja kwa Kinana
Ukiangalia historia inajiandika yenyewe
Kinana ndie aliyemuweka Mkapa madarakani na sasa Kikwete na ndie atayeongoza kampeni za Jembe letu 2015
Kuna ngoma nyingine huchezwa na wakubwa tu, Chadema wao ni ngoma ya kitoto, haikeshi!
 

chama kilichochakaa na akili zao zimechakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…