Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa
Si mlisema mliibiwa kura?
Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa
Mkuu kama ulikua hujui raia wameenda kuangalia show ya Diamond na si kumsikiliza Jangili.
Keep on swearing, CCM is on move to general election 2015I swear 99.09% hao ni makatibu na Wenyeviti wa MATAWI ya Dsm, Tanga, Bagamoyo na Mkuranga
Kwa hao watu unaowaona hapo kuna mpiga kura hapo? Au wamekuja kushangaa kama wale walioenda kushangaa watu wa kufikirika walionasana pale Temeke Hospital? Kamuulize Odinga kilichomkuta Kenya na umati wake wa kwenye mikutano.
Yeah Unadhani bila KUIBA kura JK KIKWETE angepata UNGWE ya PILI? sidhani ndio Maana wanaifanyia VITUKO CHADEMA; Wanajua MANTIKI yake... BILA WIZI na ULAGHAI na KUINGIZA UDINI - Kikwete angekuwa Bagamoyo ametulia na labda kuna Mahakama ya KUCHUNGUZA MAFISADI imeanzishwa na UTAWALA wa CHADEMA... Kurudisha hayo Mabilioni yaliyoko USWISI na Kwingineko... Yaani itawauma wengi hadi DIAMOND atakuwa AFFECTED na yeye amepata pesa za Uchotaji za bure... Waendesha BODA BODA... what a shame!!!
wapiga kura wapoje mkuu?? Wanavaa nguo za njano na kijani? Wanatumbuizwa na diamond?
I swear 99.09% hao ni makatibu na Wenyeviti wa MATAWI ya Dsm, Tanga, Bagamoyo na Mkuranga
Kwa nini izikwe wakati
haina hata mbunge huko, wewe naona mavi yanagonga chupi maana unajua
kuwa CDM wakija huko ni kukusanya watui wa hapo Moro waliochoshwa na
utawala wa sultani(Abood) ambae kazi yake ni kugawa mabasi kwenye misiba
basi
Bora ya CCM inamlipa msanii kuliko nyie mnaolipa watu waende kuua wauza magazeti kwenye mikutano yenu.
Nitajulia wapi maisha ya vichocholoni kama hayo wakati maisha yangu yako kwenye hiyo nchi unayohangaika kulipia mpira kuangalia kwenye 42" screen.
Welcome to London.
Nahukuru PICH zimepatikana. Unajua korido za CHADEMA kukimbilia zinazidi kupungua. ENEO WALIPOFANYIA MKUTANO MWANZA LINAUWEZO KAMA UWANJA WA MPIRA. LAKINI UKIANGALIA HAPA ALIPOSIMAMA MHESHIMIWA KINANA NI SAWA NA KUUNGANISHA VIWANJA VINNE VYA MPIRA. HALAFU ANGALIA PICHA YA CHADEMA KUNA VIVULANA VITUPU VINAWASIKIA MABABU ZAO KAMA KAWAIDA -BABU NA WAJUKUU. LAKINI KWA CCM KUNA RIKA ZOTE WATOTO WAKUBWA WANAWAKE WANAUME NAKADHALIKA. UONGO HAUNA NAFASI MAANA TUMEONA KWENYE TBC TUNASHUKURU SANA KWA HILO
Mbona hukuhoji chama chako kilipowalipa watu ili waende kuua muuza magazeti kwenye mkutano wenu Morogoro?