Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa
Kama kuna propaganda za
kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro
hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona
juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya
kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na
maoni ya kupangwa
TAKE THAT hapo HAKUNA DIAMOND... Hakuna PESA za Makatibu Kata; Malori na V-Khanga na V-Tisheti vya CCM - NI MWANZA MKUTANO wa CHADEMA
Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM
.Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka
.Mchakato wa katiba unaenda vizuri, CDM ni vigeugeu walidai kama wangepata nafasi ya kushika dora wangebadilisha katiba ndani ya siku 100 huku wakisaau kuwa katiba ni ya watanzania na sio ya CDM kwani siku 100 tu hutawezaje kuwafikia watanzania ukapata mawazo yao
.Watanzania waaswa kutotumika vibaya kwa wanasiasa kama kushiriki migomo, fujo na machafuko kwani haina tija kwa taifa letu kwani viongozi wa CDM wanataka kutawala kwa mabavu huku wakidai nguvu ya umma wakati nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupigia kura
.Mboye anachochea migomo ya vyuo vikuu wakati yeye alipata ZERO kidato sita kwa hiyo haoni umuhimu wa elimu ya chuo kikuu, nae MNYIKA kumbe alidisco UDSM ila yuko msitari wa mbele kwa migomo ya vyuo vikuu ili tupate taifa la wajinga
Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa
halafu cha kufurahisha zaidi, mikutano ya ccm inakuwa na watu wenye heshima zao. Huwezi kukuta vibaka na wahuni kwenye mikutano ya ccm.
Mikutano ya chadema inajaa wahuni na vibaka kwasababu wanajua muda wowote "kinanuka" kwahiyo watapata nafasi ya kuiba.
Kwa hao watu unaowaona hapo kuna mpiga kura hapo? Au wamekuja kushangaa kama wale walioenda kushangaa watu wa kufikirika walionasana pale Temeke Hospital? Kamuulize Odinga kilichomkuta Kenya na umati wake wa kwenye mikutano.
unajidanganya mzee chadema iko mioyoni mwa watu sio kadi hata kinana mzee wa tembo analijua hilo ndio maana hotuba yake yote leo imejaa chadema tu.
TAKE THAT hapo HAKUNA DIAMOND... Hakuna PESA za Makatibu Kata; Malori na V-Khanga na V-Tisheti vya CCM - NI MWANZA MKUTANO wa CHADEMA
Kama Unavyojua NYAMAGANA na ILEMELA zilikwenda kwa CHADEMA... Mkoa wa Mwanza Ulikwenda kwa Dr. Slaa... Sasa hapo ndio Jasho la CHI CHI MAFISADI
unajidanganya mzee chadema iko mioyoni mwa watu sio kadi hata kinana mzee wa tembo analijua hilo ndio maana hotuba yake yote leo imejaa chadema tu.
Si mlisema mliibiwa kura?