B Bobuk JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 5,870 Reaction score 3,275 Jul 27, 2014 #161 Wasirra anaongea. Wanasiasa wanasingizia wananchi kwa kufanya maoni yao kuwa ndio maoni ya wananchi Tundu Lisu ni mwansheria mzuri alishiriki kutafasiri sheria. Agenda ya BMK ni rasimu ya katiba. Maoni ya wanannchi yanayopuuzwa ni yapi? Watu wanazomea. Anasisitiza ZNZ walitaka mkataba.
Wasirra anaongea. Wanasiasa wanasingizia wananchi kwa kufanya maoni yao kuwa ndio maoni ya wananchi Tundu Lisu ni mwansheria mzuri alishiriki kutafasiri sheria. Agenda ya BMK ni rasimu ya katiba. Maoni ya wanannchi yanayopuuzwa ni yapi? Watu wanazomea. Anasisitiza ZNZ walitaka mkataba.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jul 27, 2014 #162 Lissu:Bunge Maalumu halina mamlaka ya kubadilisha Maoni ya rasimu yaliyopendekezwa na tume kutoka kwa wananchi
Lissu:Bunge Maalumu halina mamlaka ya kubadilisha Maoni ya rasimu yaliyopendekezwa na tume kutoka kwa wananchi
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,484 Reaction score 29,964 Jul 27, 2014 #163 Hakika Lipumba ni Professa..
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Jul 27, 2014 #164 RockSpider said: Wassira: wananchi wanao wakilishwa na UKAWA ni wepi? Lipumba sasa ... Click to expand... Lipumba ashukuru waasira kukubali takwimu Hili waasira pocho
RockSpider said: Wassira: wananchi wanao wakilishwa na UKAWA ni wepi? Lipumba sasa ... Click to expand... Lipumba ashukuru waasira kukubali takwimu Hili waasira pocho
U UkomboziMpya JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 465 Reaction score 179 Jul 27, 2014 #165 Akizungumza katika mjadala unaorushwa na ITV na Radio One; Mh Wassira alikiri kuwa uwezo wa Tundu Lissu katika masuala ya kisheria ni mkubwa sana. Namnukuu: "............ndugu yangu tundu lissu ni mwanasheria, tena mzuri sana tu .........."; mwisho wa kunukuu.
Akizungumza katika mjadala unaorushwa na ITV na Radio One; Mh Wassira alikiri kuwa uwezo wa Tundu Lissu katika masuala ya kisheria ni mkubwa sana. Namnukuu: "............ndugu yangu tundu lissu ni mwanasheria, tena mzuri sana tu .........."; mwisho wa kunukuu.
kelao JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 8,132 Reaction score 5,811 Jul 27, 2014 #166 Wasira tayari kajikanganya!sasa anakubaliana na takwimu za tume ya mabadiliko ya katiba ambayo awali alikua anazikataa.
Wasira tayari kajikanganya!sasa anakubaliana na takwimu za tume ya mabadiliko ya katiba ambayo awali alikua anazikataa.
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,873 Jul 27, 2014 #167 Mkataba walimaanisha ni serikali tatu-Prof Lipumba.
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,548 Jul 27, 2014 #168 Lipumba anasema hakuna malalamiko kwa wazanzibari waliopendekeza Serikali ya mkataba....kwa kuwa mambo Yao yatashughulikiwa na seeikali ya tatu
Lipumba anasema hakuna malalamiko kwa wazanzibari waliopendekeza Serikali ya mkataba....kwa kuwa mambo Yao yatashughulikiwa na seeikali ya tatu
R rashidforeseer1 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 339 Reaction score 140 Jul 27, 2014 #169 Jamani hawa wa b7wapo leo wajishuhudie hapa mabosi wao wanavyojiharishis
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,873 Jul 27, 2014 #170 Otorong'ong'o said: Hakika Lipumba ni Professa.. Click to expand... Mzee Wassira anaumizwa na profesa hapa.
Otorong'ong'o said: Hakika Lipumba ni Professa.. Click to expand... Mzee Wassira anaumizwa na profesa hapa.
Onduru Ogy JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,136 Reaction score 1,181 Jul 27, 2014 #171 Mm nashangaa Chadema walivyozusha eti Wassira kakimbia mdahalo
R RockSpider JF-Expert Member Joined Feb 16, 2014 Posts 6,859 Reaction score 2,762 Jul 27, 2014 #172 Kweli Lipumba ni Prof. amedadavua kwa ufasaha maana ya muungano wa mkataba na serikali 3 kwa weledi mkubwa kuwa ni kitu kile kile ...
Kweli Lipumba ni Prof. amedadavua kwa ufasaha maana ya muungano wa mkataba na serikali 3 kwa weledi mkubwa kuwa ni kitu kile kile ...
E Eberi M. Manya JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 743 Reaction score 280 Jul 27, 2014 Thread starter #173 Wassira ameanza kubabaika....hana jipya..
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Jul 27, 2014 #174 Subiri ccm wakamlaumu waasira
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,548 Jul 27, 2014 #175 Kwa hoja za kitakwimu watanzania wangi waliunga mkono Serikali tatu
Chimemena JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,376 Reaction score 454 Jul 27, 2014 #176 IL: anadadavua takwimu za tume kuhusu namna ya muundo wa muungano hasa suala la serikali 1, 2, 3 na wa mkataba ila anaupigia muundo wa muungano wa serikali 3.
IL: anadadavua takwimu za tume kuhusu namna ya muundo wa muungano hasa suala la serikali 1, 2, 3 na wa mkataba ila anaupigia muundo wa muungano wa serikali 3.
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,548 Jul 27, 2014 #177 Wassira anakaribishwa tena.....anaanza kusema profesa ni mchumi anajua kusoma
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Jul 27, 2014 #178 Eberi M. Manya said: Wassira ameanza kubabaika....hana jipya.. Click to expand... Mimi nahisi alikua achukuliwe kikwete, huyu waasira mwepesi sana
Eberi M. Manya said: Wassira ameanza kubabaika....hana jipya.. Click to expand... Mimi nahisi alikua achukuliwe kikwete, huyu waasira mwepesi sana
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,873 Jul 27, 2014 #179 Mzee Warioba alisikiliza maoni ya waTanzania na si yake yeye Warioba-Lipumba
R rashidforeseer1 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 339 Reaction score 140 Jul 27, 2014 #180 onduru ogy said: Mm nashangaa Chadema walivyozusha eti Wassira kakimbia mdahalo Click to expand... Wew buku 7 ndo unajitokeza kwa habari ya kukacha mdahalo. Angalia bosi wako anavyogaragazwa hapo
onduru ogy said: Mm nashangaa Chadema walivyozusha eti Wassira kakimbia mdahalo Click to expand... Wew buku 7 ndo unajitokeza kwa habari ya kukacha mdahalo. Angalia bosi wako anavyogaragazwa hapo