Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Gooo, atm wanapigwa bao la kwanza hapa, sasa tutegemee makontena, malori, matreni na matakataka yote kuwekwa golini kwa chls

Sasa watapaki mabasi matatu

Muda wa mabehewa umewadia

Nimesikia honi ya treni kwa mbaliiiii

kazi wapi mkuu? Jose kashamaliza anasogeza tu dk zake aweke behewa zake mpira usitembee kabisa

Hahahaha Chelsea wamekuwa na sifa mbaya siku hizi

Ohh Goli limerudi, basi treni na mabehewa hatuoni kwa muda huu
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! ATM wanasawazisha dk 44, kocha wa madr kafurahi huyo
 
Back
Top Bottom