leo na tizama tu nakucheka..
Kuna dalili atletico wakapata goli kipindi cha kwanza.
leo na tizama tu nakucheka..
Gooo, laaaaaaaaaaaaaaaaa!
Kuna dalili atletico wakapata goli kipindi cha kwanza.
Gooo, laaaaaaaaaaaaaaaaa!
wewe ni mtangazaji wa radio nini..
Atm wakizubaa watapigwa bao 1 tu kisha wanakumbana na mabehewa ya mizigo
kie kie kie kie kie........... mkuu unanivunja mbavu wewe, na huko MOI madaktari wamegoma cjui nitatibiwaje
Leo chls wanafunguka kwa kiasi fulani ila wakipata goli ladha yote ya mpira itapotea kama mumjuavyo jose