beki za atl hazitaki mbwembwe kabisa..
kweli kabisa ndo mana wanapelekana kiaina..Mpira unaonekana kua wa kuviziana kwa namna flani
Lakini huo si ndo ukweli au aliyesema kakosea?
Hzo n heart beat sio BP
Hzo n heart beat sio BP
Hakukosea ndo maana nilicheka sana