Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

David luiz.naona aligeuzwa nje ndani apa goli la pili
 
kuna jamaa anaitwa Ntuzu na mpwa wake agosti 8 mmewaona mitaa hii maanake nimepita kwao kule darajani hawaonekani kabisa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah goli la Atletico : kulikuwa na wachezaji 9 wa Chelsea wapo nyuma

Afadhali walivyorudisha maana inaonyesha mpira ungekuwa hauvutiii tena

Formation ingekuwa :1. 9.1. kwa kipindi cha pili chote
 
Bado huy
 

Attachments

  • 1398887051616.jpg
    1398887051616.jpg
    46.4 KB · Views: 110
Heart rate ya jose inaonekana kufika 115 bpm

Leo mpaka mishipa ipasuke kabisa! Anatuparkia mabehewa sisi Liver siku ile? Hapa ATM wasithubutu kupark bus washambulie kwa kwenda mbele ili huyu mshenzi leo acheze mpira!
 
haya bana wacha na mimi nishuhudie wazee wa kupaki treni wanavyopigwa mchana kweupeee...

Haaa leo unyumba utakuwa mtamu maana naona tupo mrengo mmoja...basi haliwezekan tena
 
dizaini yao ni moja kwani magoli yamefungwa dizaini moja tu..

Nope..chelsea hawajapak basi kabisa leo!!!

Nahis Mourinho alikuwa anataka kupata magoli mawili kwanza..ndo apaki basi lake..

lakini ndo kishatibuka tayar..
 
Back
Top Bottom