Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

kazi wapi mkuu? Jose kashamaliza anasogeza tu dk zake aweke behewa zake mpira usitembee kabisa

No mkuu ,leo watapaki basi huku wakipiga counter za hatari sana.the only way kwa atletico ni kucheza total football.
 
Mpira half time, Chlc 1 - 1 ATM. Chls walijisahau kupaki treni
 
Tayari naye keshawaka! Leo aondoke tu. Agg 1-1 hapo Maureen ameshayaaga mashindano
 
Twende hatua kwa hatua kweny mtanange huu

=======================================================================

LINE UPS
=======================================================================

fb655287-1ba4-44b6-9ab9-580e3c707798.jpg

577dd325-c794-4a08-bc82-64adb5a551d8.jpg
weka update za magoli..
 
No mkuu ,leo watapaki basi huku wakipiga counter za hatari sana.the only way kwa atletico ni kucheza total football.

na kweli atl kama wamekusoma vile, wamesawazisha dk 5 tu baada ya wao kufungwa, sasa jose ana kibarua cha kusaka goli la 2 kipindi cha 2 ili kuyaruhusu mabehewa na makontena kuziba njia ya atl
 
Back
Top Bottom