Pole mkuu, kwa nini lakini umesema hivyo?
hii style ya chelsea leo inafurahisha..
Kanichekesha huyo mkuu nilo m-quote kuwa ATM wakizubaa tu wanapigwa goli 1 kisha wanakumbana na mabehewa ya morinho wanakosa pa kupita wakafunge na wao
wakicheza hivi hivi basi atakae fungwa goli halirudi..
Leo chls wanafunguka kwa kiasi fulani ila wakipata goli ladha yote ya mpira itapotea kama mumjuavyo jose
Yani chelsea wakifunga tu, ladha ya mpira inaishia hapohapo, tutaanza kuona makontena tu nyuma yamepakiwa, na kupoteza muda. Halafu morinho atashangilia kama zuzu huku akipigapiga kifua
Namwona jose kwa pembeni mapigo ya moyo wake yanakaribia 112 bpm