Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

ImageUploadedByJamiiForums1398889403.836418.jpg Mourinho basi
 
Mourinho kweli hana akili kipa mzuri namna hii anamweka benchi...sasa ona anavyowabania baada ya kuuzwa.
 
Bao la 4 naliona kabisa hapa, leo Chelsea watalala na viatu hizo gonga gonga si mchezo
 
Ndiyo maana mimi uwa nasema Maureen siyo mwalimu mzuri wa mpira...yeye ni mjanja mjanja tu...

Kweli Mourinho ni mtu wa kubahatisha bahatisha sema mara nyingi bahati huwa ina muangukia afu anachonga kuwa ni bonge la kocha. Tatizo za kutegemea bahati linakuja pale bahati inapokimbia
 
hawezi kuwa kila siku spesho, ukivaliwa utauzwa kama mtumba.

huyu mourinho kazoea kuwaonea Makocha ambao wanacheza mpira laini saana, ule wa kuweka pasi chini..

leo kakutana na kocha ambaye ana uwezo wa kucheza Dirty football vile vile!!!
 
Ntuzu nakuita wakwetu njoo bana tuangalie gemu kali bana
 
Last edited by a moderator:
Kuna ajali mbaya imetokea darajani muda huu
 

Attachments

  • 1398889670463.jpg
    1398889670463.jpg
    35.5 KB · Views: 79
Back
Top Bottom