Goooo gooo gooo atl 3 wakat wazee wa kontena bado 1
anatumia DCM....hakujua kuwa DCM ni fupi kuliko LONDON DOUBLE DECKER BUS alizozoea.
Mkuu lazima nikutafute kesho, ulivyootea jana ndio inatokea na ninavyojua lazima ulipitia bookies
Halafu ni mwisho wa mwezi huu lazima uliweka hela nyingi lol
Ila mpira lolote linaweza kutokea ngoja tusubilie kwanza
Jose heart rate inasoma 200 bpm wakat pressure iko over 140/90 mmHg
Diego simione natabiri atapewa timu kubwa zaidi very soon
Hommie nambie Morinyo leo anatumia Yutong au Marcopolo?
my blues. nimekwisha