hata daraja litakapo sombwa namafuriko plz redio mbao yamatangazo Fanya uifunge juu ya mti isikatike matangazo maana hali yaweza kuwa si shwari
Wadau droo yoyote itawatoa chelsea? Nisaidieni
Wadau droo yoyote itawatoa chelsea? Nisaidieni
Huu uzi ni wa wapinga chelsea nini naona hoja zenu zinanifanya nilog off.
Kaingia babu Eto'o, A. cole out, dk 54 1-1
naona upepo mkalii unatikisa sana ule upandeeee kule kwenye ile yard ya makondena mpaka yanatikisika na kusogezwa pembeni.
Cole nje anaingia mugabe aka samweli etoo
Huu uzi ni wa wapinga chelsea nini naona hoja zenu zinanifanya nilog off.