Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Penati inapigwa goooo atl 2 wakat chls 1 dk ni ya 60
 
Atm wameanza time wasting...what goes around comes around

Cc LiverpoolFC
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu hebu njoo hapa usaidie updates bana mbona hutembelei mitaa hii?

Namhala, wibisaga u-Ntuzu! Maana haya mapigo siyo kawaida! Jamani mnaotumia PC hamumwoni Ntuzu akichuguliachungulia? Penalty!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu footbáll unataka kuifanyia mambo za Sheikh yahya? Subiri Filimbi ya Mwisho....!!

Filimbi ya Mwisho kwa mpira upi?!

- nyie subirini filimbi ya kuwarudisha kati mara ya pili!

- na ndo hiyoooooooooooooooooo!!!
 
Penaaaaaaaalt. TAM wanapata penalt hapa . gooooooooooooooooooooo TAM 2 chls 1
 
Haya haya wazee wa makontena wanalowana hapa, Ntuzu njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom