Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Kishwa kazi Chelsea ndo hivyo tena tusubiri msimu ujao
 
Like a brother like a young brother lolz!
Ngoja mwakani LFC itatuwakilisha vema kwenye michuano hii.
 
Walizoea kushinda kizalizali leo wanajifanya kufunguka kumbe Ndio wanaachia njia vizuri,
Maskini morinyo anagegedwa hivi hivi

Chel$ki$ chini ya Maureen akifunguka tu kwenye games na timu dizaini hii, lazima akalishwe.

Leo master wa tactics kachemsha na kupagawa mapema mno...kiasi cha kutaka kushambulia mapema na kujianika kule nyuma...

Balaa hili...ila bora kelele zitapungua...hivyo msimu watatoka kapa kama kimeo chetu #ManUnited
 
Spanish football is simply the best at the moment.heartbroken Ntuzu pole sana.hao ndio atletico bwana.tusubiri vita ya Madrid.asiye mwana aeleke jiwe hiyo fainali balaa.jamaa ni wapinzani usisikie
 
Last edited by a moderator:
Usiku mwema wote mlioiombea mabaya chelsea.
Kuonekana jukwaa hili mpaka wiki mbili zipite.
 
mkuu hili jamaa hua lina bahati kama chicharito na josee hupenda kulitumia kwenye gemu kama hizi

I know lakini hawa Atl Madrid ni noma nimewafuatilia sana msimu huu.

Ukicheza na hawa ukasahau TOCHI GETTO UMEUMIA
 
Mourihno nimegundua asipopaki makontena yake hawezi kushinda

Anachokijulia yeye ni kupaki makontena tangia kipindi cha kwanza na akuotee ukijisahau afunge goli la kudondokea (Kama vs Liverpool}

Akiamua kuanzia mwanzo kushambulia anakuwa hana plan b

Ndiyo maana mimi uwa nasema Maureen siyo mwalimu mzuri wa mpira...yeye ni mjanja mjanja tu...
 
DonDonald baada ya first leg niliotea Fainali itakuwa Real na Atletico pia, kimeshatiki.. Chelsea walikuja na Bus la kamba au bus la waya sasa wamekiona. Itabidi nihamie London niwe nazivuta pesa za bookies.
 
Hivi hawa ATM hawachoki au wanataka kuwaiga wenzao RM?
 
Back
Top Bottom