Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Man Utd mnapata another Candidate wa ukocha ubaya Abromovich atasubiri hadi Man utd watangaze kocha mpya ndo amfukuze Mourinho
Cc Belo, DonDonald, Nzi, Mndengereko

Maureen hana class ya kuwa kocha wa United...domo lake la shombo halitakiwa pale OT...ila atafaa sana akija kwa wapiga domo wenziwe wa Emarate...
 
Hao Emirates hata wachukue haina shida...nilikuwa na tabu sana ya Loserfools kushinda EPL na hawa Chel$ki$ kushinda UCL...

Man city nao hawaeleweki wanaweza wakadroo na Tofees
 
watu tunataka kuona Fainali za mafundi wa soccer..
 
Ninasubili kumsikia atasemaje baada ya mpira

Ohh kumbe Stamford Bridge na wao wanatoka Kapa kama Ol Traford vile

Safi sana

Anfield kapa, Stamford Bridge kapa, Emirates {Dah Hull City plz do us a favour}
Leo atasema waulize FA!. Sie ndio timu ya mwisho ya kiengereza kutolewa alafu unafurahi? Ndio Maureen atavyosema na bet 100 to 1.
 
Man Utd mnapata another Candidate wa ukocha ubaya Abromovich atasubiri hadi Man utd watangaze kocha mpya ndo amfukuze Mourinho
Cc Belo, DonDonald, Nzi, Mndengereko

......akae huko huko !!!
attachment.php
 
MOLINYO ANAJIITA MASTER TACTICIAN CJUI!!! Naona ulijua anaenda kuchaza na Hull City!!!
 
Back
Top Bottom