Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Haya maji marefu kwa Chelsea morinyo anatafuta single yakutokea sasa
 
Atm wameanza time wasting...what goes around comea around

Cc Liverpoolfx

ndio hivyo MKUU dawa ya jeuri kiburi safiiiii huku makontena huku watu wanapoteza mda mwenye shida atabomoa msimamo wake
 
Last edited by a moderator:
Ewe MOLA tunusuru na mkasa wa kutolewa nyumbani.
 
Namhala, wibisaga u-Ntuzu! Maana haya mapigo siyo kawaida! Jamani mnaotumia PC hamumwoni Ntuzu akichuguliachungulia? Penalty!

hahahahaaa nahene nkoi nadebha lulu gashi ong'wing'wana wibhisaga?
 
Toa hazard weka Schurrel huyu dogo anaonekana hajapoma vizuri au hana mazoezi ya kutosha
 
DonDonald nilikwambia majibu yatapatikana dk ya 60. Ngoja tusubiri tuone kama Chelsea watafunga magoli 2
 
hahahaha!!!

Naona Demba Ba, anataka kuingia!!
 
Back
Top Bottom