Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Josef anataka kufanya kale kamchezo alikowafanyia psg
 
Chls wanamtoa Torres na kuingia Ba, dk ni ya 67 chls 1 - 2 ATM
 
denge alilozoea kupita joseee leo kakuta wamejenga ukuta....
 
Apark bus sasa tuone? She.nzy kabisa huyu! Kumbe wakibabuliwa huwa wanacheza mpira? Leo naona kwenye box mpaka wanacheza 6!
 
DonDonald nilikwambia majibu yatapatikana dk ya 60. Ngoja tusubiri tuone kama Chelsea watafunga magoli 2

Mkuu lazima nikutafute kesho, ulivyootea jana ndio inatokea na ninavyojua lazima ulipitia bookies

Halafu ni mwisho wa mwezi huu lazima uliweka hela nyingi lol

Ila mpira lolote linaweza kutokea ngoja tusubilie kwanza
 
anatumia DCM....hakujua kuwa DCM ni fupi kuliko LONDON DOUBLE DECKER BUS alizozoea.

aec-routemaster-02.jpg
 
Back
Top Bottom