Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Kipindi cha 2 na cha lala salama kwa majonzi au furaha ndani ya dimba, karibuni wadau.
 
Leo mpaka mishipa ipasuke kabisa! Anatuparkia mabehewa sisi Liver siku ile? Hapa ATM wasithubutu kupark bus washambulie kwa kwenda mbele ili huyu mshenzi leo acheze mpira!

Imagine??ngoja anyooshwe leo
 
Ntuzu hebu njoo hapa usaidie updates bana mbona hutembelei mitaa hii?
 
Last edited by a moderator:
Mourinho ni specialist wa kupaki basi tu, mpira wa bila kupaki basi hauwezi hata kidogo!!!

Anakera sana, goli moja kishaanza kupaki 🚌 bus, ndio sababu wamerudisha kwa muda wa dk 5 tu
 
ATM wamefanya shambulizi kali lkn goal keeper wa chls yupo imara. dk 48
 
Leo mpaka mishipa ipasuke kabisa! Anatuparkia mabehewa sisi Liver siku ile? Hapa ATM wasithubutu kupark bus washambulie kwa kwenda mbele ili huyu mshenzi leo acheze mpira!

teh teh teh mkuu inaonekana una hasira nae sana joseee mouree mzee wa kontena
 
Ntuzu hebu njoo hapa usaidie updates bana mbona hutembelei mitaa hii?

hawezi kanyaga huku yupo chumbani tena darini mfiwa huyooo.

toka upande wa wafiwa
 
Last edited by a moderator:
ngoma nzito dakika ya 51 morinyo anabana *ma*pumb*u
 
teh teh teh mkuu inaonekana una hasira nae sana joseee mouree mzee wa kontena

Sana, anatuharibia mpira masuala ya kupaki makontena mbinu za kizamani sana. sisi tunataka tuone burudani bwana
 
Huu uzi ni wa wapinga chelsea nini naona hoja zenu zinanifanya nilog off.
 
Back
Top Bottom