Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Madrid wamekosa magoli mawili kwa kosa la kipa wa bayern kutokea mpira
 
Man Utd mmeshapata new candidate wa ukocha. Pep atafukuzwa kesho lol
 
Hawa Bayern leo wana kibarua kigumu sana!!

......kuna tetesi Backenbauer 'Der Kaiser' ambaye ni Prez wa Bayern Munich na Karl-Heinz Rummenigge hawapendezwi na mfumo wa Pep aliouleta, na kwa matamshi haya ya Pep ...sitaona ajabu kama kibarua hakitaota majani kunusuru German Football!
 
Bayern wanacheza mpira wa uhakika sana pasi wamepiga mara sita ya Madrid na ball possesion 74-26. Madrid akipata mpira ni kukimbia tuu, utadhani tuko kwenye marathon.

Heheheeeeee daaahhh...
 
Man Utd mmeshapata new candidate wa ukocha. Pep atafukuzwa kesho lol

....umeona ee?
lakini Man United wapi na wapi passing game aka "TIKI TAKA" bana?!
wao butua kule kisha mabio!!!
 
Bayern wanacheza mpira wa uhakika sana pasi wamepiga mara sita ya Madrid na ball possesion 74-26. Madrid akipata mpira ni kukimbia tuu, utadhani tuko kwenye marathon.

Aisee we kweli utakuwa hijamaliza dozi ya ARV Muone daktari fasta
 
Last edited by a moderator:
Bayern wanacheza mpira wa uhakika sana pasi wamepiga mara sita ya Madrid na ball possesion 74-26. Madrid akipata mpira ni kukimbia tuu, utadhani tuko kwenye marathon.

Ndio yale ya....[kwa sauti ya kizenj!---] "yakhe kufungwa twafungwa lakini chenga twawala ami!"
 
Kipindi cha pili kinaanza

Bayern 0 - Madrid 3
 
Dah! Pep Guandiola nadhani tangu awe kocha hajawai kuonja hii joto ya jiwe. 4-0 aggregate? ....second half imeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…