They are born to always win, wakifungwa lazima waibuke na visingizio. Sikusikia habari ya mgomo kabla ya matokeo haya, baada ya bao tumeambiwa mgomo, likiingha jingine au hata wakisawazisha sijui tutaambiwaje; yetu masikio. Mgambo wakaze wasisawazishe hao Simba hadi mwisho na kulowanisha kibarua cha Logaloga.