Wachezaji wetu hawajielewi,
wao wanadhani wanamkomoa kocha? Sana sana tunaoumia ni mashabiki na
wanachama wa Simba na sio kocha. Na kama wataendelea kufanya vibaya watu
wataacha kwenda uwanjani na wao posho zao lazima zipungue kwa hiyo
hasara ni yao wenyewe.