Live Updates: Azam & Simba Matches

Kwa matokeo ya jana Yanga 7-0 Comorozine na ya leo Mgambo 1-0 Simba: imenibidi nitoke out kujipongeza. Niko Mwanza, naelekea Malaika Hotel, nahitaji kampani ya binti mrembo, atajipatia >200,000/=; ni-like kwenye fb au nifuate kwenye twitter kwa taarifa zaidi. First comes, first served.
 
Namuonea huruma rafiki yangu mmoja, ni mpenzi wa Arsenal na Simba.
 
7+1=8, mkuu na wewe inabidi upige hizo goli!!
 
Mkuu umechanganya mafaili watu wa mbeya wanaipenda city

Nimechanganya kivp mkuu?...

Kwani ni uongo kwamba Prisons inafanya vizuri na kasi ya MCC imepungua?...

MCC wanafanya vizuri sawa, lakini si sababu ya kuinyanyapaa ama kuizomea Prisons...Zote ni timu za Mbeya....Mbona Mecco na Tukuyu Stars zote zilikuwa zinapendwa mkuu? Japo zilikuwa ni timu pinzani...

Btw kuna mdudu ambaye akiendekezwa ataiua MCC....Siasa za Mbeya
 

mbeya city tunasema mpira siyo siasa. Prison ndiyo walikuwa wa kwanza kutusaliti kwa kuhamishia mechi Dar !
 

Mkuu Masuke una comment gani kuhusu hii post?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha!si tutakua wote hapa JF au ndio ata hapa JF sport utapasusa?
Maana hii mechi lazima simba apigwe.
Yani ni sawa na uji na mgonjwa.

Mkuu JF kupasusa sio rahisi labda nisiwe na bundle lakini uwanjani itabidi nifikirie sana.
 
Mkuu kauli nzito hiyo, kufungwa kawaida mkuu.

Inategemea na timu, Mgambo inashika mkia halafu ndani ya dakika 90 mnakubali kipigo, wachezaji wetu wana matatizo hawajui maumivu wanayotusababishia, jiulize kuna watu wanatumia hela zao kusafiri kwenda kuwashangilia halafu wanaishia kupata maumivu hiyo ni haki kweli.
 
mkuu kwenu kagera ni wagumu kuliko mbeya city??

Mbeya City sio warahisi ndo maana nikatumia neno kufurukuta na hii sababu yake ni simple, wametoka kufungwa mechi ya leo halafu ijayo wanacheza na Mbeya City hivyo watajitutumua na kuonyesha uwezo na kucheza kwa nguvu kwa asilimia kubwa lakini ile ya Kagera watakuwa wamejisahau baada ya kucheza mechi kadhaa kwenye mkeka wa Taifa.
 
Yaani weekend hii imekuwa tamu sana kwangu mimi mwenzenu.....

Liverpool 5 Arsenal 1
Yanga 7 Wakomoro 0
Mgambo 1 Simba 0.

It can't get better than this, can it?

Mliofurahi kama mimi kwa matokeo hayo yote matatu tuungane kufurahi pamoja!!
 
Mkuu Masuke una comment gani kuhusu hii post?

Mkuu we acha, hawa wachezaji ni majuha kweli kuna timu za kutufunga na nyie mkabaki kusema leo bahati haikuwa yetu ndo yale yale ya mwaka ule tunafungwa na Villa Squad halafu ikashuka daraja, tukafungwa na polisi morogoro ikashuka daraja na mwaka juzi tulifungwa na Toto nayo ikashuka daraja yaani sisi tumekuwa ni timu ya kufungwa na timu zinazoshuka daraja maana hata Mgambo kwa jinsi walivyokamata mkia hali sio nzuri ingawa simaanishi kwamba ndo watashuka daraja.
 
Yaani weekend hii imekuwa tamu sana kwangu mimi mwenzenu.....

Liverpool 5 Arsenal 1
Yanga 7 Wakomoro 0
Mgambo 1 Simba 0.

It can't get better than this, can it?

Mliofurahi kama mimi kwa matokeo hayo yote matatu tuungane kufurahi pamoja!!

Tayari niko Malaika Hotel hapa Mza, pembeni nina kiburudisho cha nguvu. Acha nijipongeze, maisha mafupi.
 
Tayari niko Malaika Hotel hapa Mza, pembeni nina kiburudisho cha nguvu. Acha nijipongeze, maisha mafupi.

Maisha ni mafupi lakini kama itabidi kutumia hicho kiburudisho zaidi ya hapo ulipo usisahau huu mzigo.

 

Pole sana Mkuu. Umenikumbusha ya Villa Squad, Polisi Moro na Toto Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…